"Maisha Yetu" ni blog ambayo inaelezea maisha ya kila siku ya mtanzania katika tufafuta maisha yaliyo bora. Blog hii pia inatoa uwanja kwa mtu yeyote kuweza kuchangia kwa namna yoyote ili kusaidia vijana tuweze kujiajili wenyewe na kuachana na maisha ya taabu.....KWA PAMOJA TUNAWEZA MANA TUMEDHUBUTU.....KARIBUNI WOTE
MAISHA YETU......!!!!
Saturday, November 26, 2011
HARUSI YA DADA YANGU KIPENZI....................
Mungu awabariki katika ndoa yenu mzidi kumwomba na kumtumikia daima mana yeye ndo nguzo imara wakati wa shinda zenu...........AMEN!!!!!!!
Monday, November 21, 2011
MIAKA HAMSINI YA UHURU............"eti TUMEDHUBUTU.........mmmhhh!!
Watanzania mpaka sasa tulipofikia ni miaka HAMSINI YA UHURU, sasa kwa mpango huu wa miundo mbinu mibovu kweli tunaweza kujivunia kama "TUMEDHUBUTU?............babo aiingi akilini mwetu.....AMAKA KIJANA...
Sunday, November 20, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)