MAISHA YETU......!!!!

Monday, November 21, 2011

MIAKA HAMSINI YA UHURU............"eti TUMEDHUBUTU.........mmmhhh!!


  Watanzania mpaka sasa tulipofikia ni miaka HAMSINI YA UHURU, sasa kwa mpango huu wa miundo mbinu mibovu kweli tunaweza kujivunia kama "TUMEDHUBUTU?............babo aiingi akilini mwetu.....AMAKA KIJANA...

3 comments:

  1. Kazi ipo na izi mvua,magari yatalala barabarani one day,maana sidhani kama kuna mchakato wa kuzifanyia jambo brbr za mtaani ivi karibuni,ivi iyo siyo njia ya kuteremsha kitaa? maana last time nilipopita ilikuwa inatia huruma

    ReplyDelete
  2. kazi ipo tena si kidogo dada yangu ila ndo miaka hamsini ya uhuru.........ni barabar moja pande za kwa mathias...........vip pande za huko je mibarabara ipoje?

    ReplyDelete
  3. Wenzetu wako mbali sana,yani kama sisi tupo posta kuelekea pndege wenzetu wako mail 1.Hamna brbr za disko vumbi hata za kitaani,ni lami tu na foleni ni kama hadithi vile,flyovers za kutosha,brbr pana ndo ivyo lkn tunajisogeza kibongo bongo labda 1 day yes na sisi tutakuwa km wwenzetu

    ReplyDelete