MAISHA YETU......!!!!

Saturday, November 26, 2011

HARUSI YA DADA YANGU KIPENZI....................


















Mungu awabariki katika ndoa yenu mzidi kumwomba na kumtumikia daima mana yeye ndo nguzo imara wakati wa shinda zenu...........AMEN!!!!!!!

Monday, November 21, 2011

MIAKA HAMSINI YA UHURU............"eti TUMEDHUBUTU.........mmmhhh!!


  Watanzania mpaka sasa tulipofikia ni miaka HAMSINI YA UHURU, sasa kwa mpango huu wa miundo mbinu mibovu kweli tunaweza kujivunia kama "TUMEDHUBUTU?............babo aiingi akilini mwetu.....AMAKA KIJANA...

Sunday, November 20, 2011


 Madaktari watarajiwa wakiwa na nyuso za furaha wakati walipokuwa wameenda hospitali ya ilembula iliyoko katika mkoa wa njombe mwaka huu kabla ya kumaliza chuo.......kweli ukisoma bongo hii hutaweza fanya kazi sehemu yoyote duniani.....NAWA-MISS SANA WASHIKAJI........"ILEMBULA HOYEEEEE!!