MAISHA YETU......!!!!

Sunday, November 20, 2011


 Madaktari watarajiwa wakiwa na nyuso za furaha wakati walipokuwa wameenda hospitali ya ilembula iliyoko katika mkoa wa njombe mwaka huu kabla ya kumaliza chuo.......kweli ukisoma bongo hii hutaweza fanya kazi sehemu yoyote duniani.....NAWA-MISS SANA WASHIKAJI........"ILEMBULA HOYEEEEE!!

4 comments:

  1. Dogo hongera sana,kumbe shule imeisha! Years go fast kiivyo,karibu ktk chama,nice kuona na ww umeanza kublogua,it's interesting sana,mm nina 2 sasa,thanks for checking out.Nitakua napitia pitia kucheck.

    ReplyDelete
  2. worry out my sister, nipo nipo kitaa nakomaa kimtindo mana life ni kusaka mahela, nasubiri post za serikali mwakani japo nataka kwenda kusoma tena mwakani..........wish to be uko uko kama ikiwezekana!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. strategy nzuri sana iyo,umri bado unaruhusu sana tu,piga skul kwanza, mengine yatakuja yenyewe,kwaiyo ulikuwa unataka kuendelea kusoma nn labda? unaweza nichek ktk email yangu kusuwili@gmail.com

    ReplyDelete
  4. Powa my sister, nitaku-email mana nataka by next year nianze tena......salamu kwa mr na mwambie Mama Luhaga anamsalimia sana.........

    ReplyDelete